Mwanamke wa miaka 23 amwagiwa mafuta moto Mombasa

Описание к видео Mwanamke wa miaka 23 amwagiwa mafuta moto Mombasa

Familia moja huko Mombasa inalilia haki baada msichana mwenye umri wa miaka 23 kumwagiwa mafuta ya kupikia yalioyokuwa moto na aliyekuwa mapenzi wake zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Inadaiwa mshukiwa alichukuwa hatua hiyo baada ya mwathiriwa kudaiwa kumtaliki .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке