Wanaosafirisha mizigo Afrika Mashariki walalamika

Описание к видео Wanaosafirisha mizigo Afrika Mashariki walalamika

Wasafirishaji mzigo kutoka bandari ya Mombasa hadi mataifa ya ukanda wa Afrika Mashariki wanalalamikia kuongezeka kwa vikwazo vya usafirishaji mizigo ambavyo vimepelekea kukwama kwa mizigo katika barabara kuu ya mombasa kuelekea nairobi. Baadhi ya trela zimekwama katika sehemu ya kupimia mizigo katika eneo la dongo kundu kwa zaidi ya wiki moja sasa. Wanadai hali hii imewaacha wakikadiria hasara huku baadhi ya wateja wao wakitishia kuondoka nchini.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке