Mashabiki wa Simba wahimizwa kununua tiketi

Описание к видео Mashabiki wa Simba wahimizwa kununua tiketi

“Wanunue tiketi kwa wingi waje Benjamin Mkapa” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akiwahimiza mashabiki wa timu hiyo kuenedelea kununua tiketi.

Mnyama kesho Septemba 22 atakuwa katika dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Al Ahly Tripoli katika mchezo wa mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika.


#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika

Комментарии

Информация по комментариям в разработке