Ukununua jezi ya Simba, unapewa tiketi ya 3,000

Описание к видео Ukununua jezi ya Simba, unapewa tiketi ya 3,000

UKINUNUA JEZI YA SIMBA, UNAPEWA TIKETI: Mkurugenzi wa Sandaland the Only One, Sanda Yenga ametangaza ofa maalumu kwa mashabiki wa Simba SC ya kwamba atakayenunua jezi ya shilingi 30,000, atapewa tiketi ya shilingi 3,000.

Mnyama kesho Septemba 22 atakuwa katika dimba la Benjamin Mkapa kumenyana na Al Ahly Tripoli katika mchezo wa mkondo wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika.


#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika

Комментарии

Информация по комментариям в разработке