KURASA ZA MWISHO | Magazeti yaweka takwiimu za CAF, Simba yang'ara

Описание к видео KURASA ZA MWISHO | Magazeti yaweka takwiimu za CAF, Simba yang'ara

Katika kipindi cha Kurasa za mwisho, gazeti la Mwanspot limeandika msimamo wa pointi za CAF ambapo Simba SC ipo nafasi ya sita na Yanga ipo nafasi ya 12. Mashabiki watambiana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке