BABU ALIYEDUMU NDC - TAWALA MBALIMBALI HADI SAMIA || MIAKA 37 YA UTUMISHI ULIOTUKUKA

Описание к видео BABU ALIYEDUMU NDC - TAWALA MBALIMBALI HADI SAMIA || MIAKA 37 YA UTUMISHI ULIOTUKUKA

Alphonce Lufunda almaarufu kama Babu, ndio jina lililo zoeleka kwenye korido za Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), amemaliza muda wake wa Utumishi wa Umma ndani ya Serikali. Atakumbukwa kwa weledi wake wa kazi, kujitoa, heshima na uchapa kazi wake uliotukuka.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке