Vigelegele Kazaliwa Mwokozi - J. C. Shomaly | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Christmas | Noeli

Описание к видео Vigelegele Kazaliwa Mwokozi - J. C. Shomaly | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Christmas | Noeli

Vigelegele na tupige wote aiya iya iya
nyimbo nzuri na tuimbe kazaliwa Mwokozi

Mtunzi - J C Shomaly
Waimbaji - Sauti Tamu Melodies
Mtayarishaji - Munywoki Martin Mutua
Kinanda - Richard Wabomba
Solo - Faith Syombua

karibu kutazama wimbo huu wa Krismas pamoja na nyimbo nyingine kama mbali kule nasikia, wachungaji wakaenda kwa haraka, leo Yesu kaliwa, leo yatimizwa, amezaliwa masiha na kadhalika.

Merry Christmas

Комментарии

Информация по комментариям в разработке