Jinsi Ya Kupika Maandazi Matamu Kwa Biashara

Описание к видео Jinsi Ya Kupika Maandazi Matamu Kwa Biashara

Vivi maandazi matamu


Mahitaji


Unga kg 1
Sukari vijiko 10 au pungufu
Hamira kijiko kikubwa cha chakula 1
Mafuta/prestige vijiko 2-3
Mayai 1 au 2
Cornflour vijiko 3_5 vya chakula
Chumvi kiduchu
Maji vuguvugu
Mafuta ya kuchomea maandazi yako

Hatua
1: chekecha unga + cornflour
2:Yai+ladha yoyote
3:Chukua vitu vyote vikavu unga uliochekechwa+hamira+chumvi+sukari changanya vyote kwa pamoja
4:Tia mafuta/ prestige
5:Tia mayai ulioweka ladha
6:Pikicha unga uchanganyikane vyema
7:Anza kuweka maji vuguvugu na ukande donge lako,hakikisha donge liwe laini lisiwe gumu
8:Kanda kwa muda mrefu ili upate matokeo mazuri
9:weka donge lako lifunike kwa dk 30 liumuke
10:Likiumuka kanda tena kisha kata shepu uzipendazo kisha yaache kwa dk 30 yaumuke tena
11:Bandika mafuta yako jikoni zingatia moto usiwe mkali sana uwe wa wastani
12:Choma maandazi yako
13:Bidhaa yako tayari kwenda sokoni

[email protected]

Mikono yako kiwanda chako Anza leo






Natoa mafunzo haya
ubuyu aina zote
karanga mayai
halkeki



#maandazi#biashara #keki#cakerecipe #kashata
#snacks #karanga



Music: Lovely Piece
Musician: DaFox
URL: https://pixabay.com/music/-lovely-pie...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке