Tigo Fiesta 2017 Mwanza Cypher Ft Fid Q, Adam Mchomvu & Mwanza Rising MC's

Описание к видео Tigo Fiesta 2017 Mwanza Cypher Ft Fid Q, Adam Mchomvu & Mwanza Rising MC's

Tigo kwa mara nyingine inajivunia kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha la Tigo Fiesta 2017 itayoanzia Arusha. Fiesta ni Tamasha la burudani litaloendelea kwa wiki 9 likiwahusisha wasanii wakubwa nchini Tanzania. Nunua Tiketi yako kwa TigoPesa upate punguzo la 10% na bonasi za SMS 100, MB 100 pamoja na punguzo la bei za smartphone katika maduka ya Tigo msimu huu wa Fiesta pale Tamasha likiwa mkoa karibu nawe.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке