WALI WA PILIPILI BOGA ( NA KUKU WA HARISSA)

Описание к видео WALI WA PILIPILI BOGA ( NA KUKU WA HARISSA)

Chakula cha watu kiasi 3-5

Vipande 6 vya miguu na mapaja ya kuku pound 3.5 ( 1.59kg)
Kitunguu thom na tangawizi mbichi ilosagwa kiasi kjk 1 na nusu chakulia
Sosi ya harissa kiasi vjk 4 vya kulia - recipe itakua hapa    • JINSI YA KUTENEGENEZA SOSI YA HARRISA  
Mtindi /yogurt Vjk 2 vya kulia ( kama utapenda)

Mahitaji ya wali
Pilipili boga ya rangi nyekundu 1
Pilipili boga ya rangi ya machungwa/manjano1
Biringanya 1 la kiasi
Mchele wa basmati kiasi vikombe 2 na nusu ( au kiasi utakachopenda)

Mahitaji ya rojo
Kitunguu maji 1/2
Bizari ya unga wa uzile vjk 2 vya chai
Kitunguu thom na tangawizi ilosagwa kjk 1 cha chai
Pilipili manga ya unga kiasi 1/4 mpka 1/2 kjk cha chai
Nya ilosagwa fresh au ya mkebe kiasi 1/4 mpaka 1/2 kikombe

IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH    • ROASTED BELL PEPPER RICE (WITH HARISS...  

Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...


Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Комментарии

Информация по комментариям в разработке