NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa

Описание к видео NIKO KASI_Kwaya ya Mt.Joseph Mfanyakazi_Nzihi Kidamali - Iringa

NIKO KASI ni wimbo ulioimbwa na kwa ya ya Mt.Joseph Mfanyakazi iliyopo Nzihi - Kidamali Iringa. Tuungane nao katika kumtukuza Mungu. Wimbo huu upo ndani ya Album yao iitwayo wema wa Mungu.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba: 0752 721 316 / 0752 243 201 au 0755 849 190

#kwayakatoliki

Комментарии

Информация по комментариям в разработке