Hii ndiyo ahadi yangu kwa Wazanzibari - Maalim Seif

Описание к видео Hii ndiyo ahadi yangu kwa Wazanzibari - Maalim Seif

Mgombea urais wa Zanzibar kwa chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ametowa mtazamo wake kuhusu kuifunguwa Zanzibar ndani ya miaka mitano ya urais wake endapo atachaguliwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке