THE CLASSIC MAN WATER 1: KUMUIGA P FUNK/KUMTAFUTA/KUKOSANA NA ALIKIBA/UGOMVI NA 20 PERCENT/TUNZO 5

Описание к видео THE CLASSIC MAN WATER 1: KUMUIGA P FUNK/KUMTAFUTA/KUKOSANA NA ALIKIBA/UGOMVI NA 20 PERCENT/TUNZO 5

Man water ni moja ya watayarishaji mahiri wa Bongofleva ambae pia anafanya aina nyengine wa muzki kama Dansi na kadhalika,wakati fulani kazi zake zilifananishwa sana na mtayarishaji nguli P Funk na kudaiwa kua katika beef wakati huo,katika episode hii Man water ameelezea mambo mengi ikiwemo hilo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке