Kamwe huwezi kumkimbia Mungu, Rudi kwenye Kusudi

Описание к видео Kamwe huwezi kumkimbia Mungu, Rudi kwenye Kusudi

KAMWE HUWEZI KUMKIMBIA MUNGU, RUDI KWENYE KUSUDI.

Siku zote ukitaka Mungu akubariki, na mambo yako yafanikiwe, tafuta sana kujua kusudi la Mungu kwenye maisha yako.

Usiwahi kuliacha kusudi la Mungu kwako kutokana na matakwa yako binafsi, inaweza kukugharimu maisha yako yote.
_____________________
Ili uwe wa kwanza kupokea taarifa zetu pindi tunapochapisha tafadhali (Like, Follow, Share, Comment na Subscribe) kwenye chaneli yetu ya Eden TV Online.
________________________
Kwa mawasiliano na jinsi ya kufika kanisani, tupigie kupitia namba +255743758507.
Mungu akubariki.
@everyone
@TopFans

Комментарии

Информация по комментариям в разработке