TULIKUTANA ONLINE | DEPRESSION BAADA YA UZAZI NILIKAA HOSPITALINI MIEZI 3

Описание к видео TULIKUTANA ONLINE | DEPRESSION BAADA YA UZAZI NILIKAA HOSPITALINI MIEZI 3

Winifrida ameeleza Safari ya maisha yake kutokea Tanzania mpaka Canada
Namna alivyokutana na mume wake kupitia Online

Maisha ya Canada na changamoto zake, Ndoa haikua nyepesi kabisa lakini waliweza kuvuka.

Ametoa darasa kwa vijana la kujichunga na sio kulala na mtu haraka haraka

Thank you Winifrida for allowing this to be online


www.oda.international

Комментарии

Информация по комментариям в разработке