YUSUF CHANGALAWE ASHINDA PAMBANO LA NDONDI, ATINGA ROBO FAINALI

Описание к видео YUSUF CHANGALAWE ASHINDA PAMBANO LA NDONDI, ATINGA ROBO FAINALI

YUSUF CHANGALAWE ASHINDA PAMBANO LA NDONDI, ATINGA ROBO FAINALI

Yusuf Changalawe ameshinda kwa kishindo pambano lake leo kwenye hatua ya 16 bora katika uzani wa Light heavyweight 75kg - 80kg* kwa kumtwanga Curlin Richardson kutoka visiwa vya Anguila kwa pointi nyingi sana.

Bondia Changalawekwa shindi huo kaingia hatua ya Robo fainali.






MUNGU IBARIKI TANZANIA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке