Wabunge waomba msamaha kwa kupitisha mswada wa fedha

Описание к видео Wabunge waomba msamaha kwa kupitisha mswada wa fedha

Naibu Rais Rigathi Gachagua sasa anawataka vijana ambao wamegadhabishwa na hatua ya wabunge kupitisha mswada tata wa fedha kuwasamehe na kuwaruhusu kutekeleza majukumu yao. Kauli ya naibu rais inajiri baada ya baadhi ya wabunge kutatizwa na wapiga kura wao katika hafla mbalimbali na kuwalazimu wengine kutokwenda nyumbani huku wakiomba msamaha.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке