Azam TV: MAKALA YA SHAMBANI - KUTANA NA MKULIMA WA KIPEKEE, KHADIJA JABIR

Описание к видео Azam TV: MAKALA YA SHAMBANI - KUTANA NA MKULIMA WA KIPEKEE, KHADIJA JABIR

Khadija Jabiri mwenye umri wa miaka 27 anamiliki shamba la kisasa la GBRI liliko Kiwere, Iringa.

Alipohitimu Chuo Kikuu mwaka 2012, tofauti na vijana wengi hakutafuta ajira ofisini, badala yake alijikita katika biashara na mojawapo ni kilimo. Kwa sasa amejikita katika kilimo cha mboga na matunda. Huyu hapa Jamal Hashim akisimulia katika makala ya Shambani Wiki Hii.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке