YESU KWETU NI RAFIKI/WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS.DANIEL SIFUNA. TENZI No9. SWAHILI WORSHIP SONGS.

Описание к видео YESU KWETU NI RAFIKI/WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS.DANIEL SIFUNA. TENZI No9. SWAHILI WORSHIP SONGS.

 SWAHILI
1. Yesu kwetu ni rafiki Hwambiwa haja pia,
Tukiomba kwa babaye, Maombi asikia
Lakini twajikosesha Twajitweka vibaya,
Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia.

2. Una dhiki na maonjo, Una mashaka pia,
Haifai kufa moyo, Dua atasikia,
Hakuna mwingine Mwema Wakutuhurumia,
Atujua tu dhaifu, Maombi asikia

3. Je hunayo hata nguvu Huwezi kwendelea,
Ujapodharauliwa, Ujaparushwa pia,
Watu Wangekudharau, Wapendao Dunia
Hukwambata Mikononi Dua atasikia.

ENGLISH
What a friend we have in Jesus
All our sins and griefs to bear
What a privilege to carry everything to God in prayer!

O what peace we often forfeit
O what needless pain we bear
All because we do not carry everything to God in prayer

Have we trials and temptations?
Is there trouble anywhere?
We should never be discouraged
Take it to the Lord in prayer

Can we find a friend so faithful
Who will all our sorrows share?
Jesus knows our every weakness
Take it to the Lord in prayer

Are we weak and heavy-laden,
  Cumbered with a load of care?
Precious Savior, still our refuge—
  Take it to the Lord in prayer;
Do thy friends despise, forsake thee?
  Take it to the Lord in prayer;
In His arms He’ll take and shield thee,
  Thou wilt find a solace there

FACEBOOK; Daniel Sifuna
TIKTOK; danielsuna2
MR. D RECORDS
SWAHILI WORSHIP SONGS 2024
TENZI ZA ROHONI
YESU KWETU NI RAFIKI.
GOD BLESS YOU ALL 🙏🙏

Комментарии

Информация по комментариям в разработке