IBADA MAALUM YA WANAWAKE: NYOTA YAKO ITANG'AA NA UTAPATA WASAIDIZI KUKUFIKISHA KWENYE MWISHO MWEMA

Описание к видео IBADA MAALUM YA WANAWAKE: NYOTA YAKO ITANG'AA NA UTAPATA WASAIDIZI KUKUFIKISHA KWENYE MWISHO MWEMA

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema na maalum ya Wanawake kwa mwezi Mei 2023 inayokujia mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "NYOTA YAKO ITANG'AA NA UTAPATA WASAIDIZI WA KUKUFIKISHA KWENYE MWISHO MWEMA". Ibada hii ni maalum na inahusika na kukujulisha NINI CHA KUFANYA NA NINI HUWA ADUI WANAFANYA, WANAIBA NA KUPITISHA KWENYE NYOTA ILI USISAIDIWE NA PIA KUJUA NAMNA ILIYO SAHIHI YA KUFANYA NA KUFUATA MAELEKEZO YOTE AMBAYO ROHO MTAKATIFU ATATUPA ILI WANAOTAKIWA KUKUSAIDIA WAKUFUATE SIKU ZOTE.

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке