IBADA MAALUM MAHUSIANO&UCHUMI: KUJUA NA KUNYAMAZISHA KILA SADAKA ZILIZOTOLEWA KINYUME NA MAISHA YAKO

Описание к видео IBADA MAALUM MAHUSIANO&UCHUMI: KUJUA NA KUNYAMAZISHA KILA SADAKA ZILIZOTOLEWA KINYUME NA MAISHA YAKO

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya MAHUSIANO NA UCHUMI. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 25 Juni 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "NAMNA YA KUJUA NA KUNYAMAZISHA KILA SADAKA ZILIZOTOLEWA NA ZINA UHAI ZINAZOSEMA KINYUME NA MAISHA YAKO".

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке