Haya Ee Moyo wangu, imba kwa Furaha by John Simba

Описание к видео Haya Ee Moyo wangu, imba kwa Furaha by John Simba

Moja Ya Nyimbo za Mashangilio sana katika TMW ni wimbo unaoitwa 'HAYA EE MOYO WANGU'

Wimbo huu ni wimbo wa mashangilio, ni wimbo wa Furaha ndiyo maana unaitwa Haya ee moyo wangu imba kwa Furaha!

Ni wimbo ambao umetumika katika misimu yote yenye furaha, neema na baraka.

Haya Ee Moyo Wangu ni wimbo ambao tunauimba tukiwa na furaha, tukiwa tuna mashangilio.

Karibu Usikilize wimbo huu ulioimbwa toka vizazi na vizazi.
.........................................................................----.........................................................
#kkktkariakoomorningglory #kkktkariakoopraiseteam
.........................................................................----.........................................................
Instagram/facebokk/tiktok John simba
.........................................................................-----.........................................................

Комментарии

Информация по комментариям в разработке