KIJITO CHA UTAKASO TENZI ZA ROHONI ( 157) BY DANIEL SIFUNA. GOSPEL MUSIC 2024

Описание к видео KIJITO CHA UTAKASO TENZI ZA ROHONI ( 157) BY DANIEL SIFUNA. GOSPEL MUSIC 2024

KIJITO CHA UTAKASO (157)

 

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu,

Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo

Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Viumbe vipya naona damu ina nguvu,

Imeharibu uovu ulionidhulumu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo

Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Ni neema ya ajabu kupakwa na damu

Na Bwana Yesu kumjua Yesu wa msalaba

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo

Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso

Naondoka kutembea nuruni mwa mbingu

Na moyo safi kabisa kumpendeza Yesu

Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo

Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso


#Tenzi za rohoni
Kijito cha utakaso.
#2024 gospel music
Daniel Sifuna
tiktok @Danielsifuna2
Facebook Daniel Sifuna

Комментарии

Информация по комментариям в разработке