SHUSHO ''WATU WENGI MAISHA YANGU HAWAYAJUI/KIMWANAUME GANI HIKI NAJUUTA/KUNIVUA NGUO''

Описание к видео SHUSHO ''WATU WENGI MAISHA YANGU HAWAYAJUI/KIMWANAUME GANI HIKI NAJUUTA/KUNIVUA NGUO''

#mchezakwao #christinashusho #mahusiano
Fatilia mahojiano maalum yakwake Christina Shusho kupitia kipindi cha Mcheza kwao ambapo ameweka wazi juu ya taarifa zilizopo mitaani kuhusiana na ndoa yake pamoja na kile kinachoendelea cha ndoa na mahusiano ya waimbaji wa mziki wa injili ambayo yamekuwa yakiingia katika sintofahamu, Sasa hayo ni machache kati ya mengi ambayo Shusho yote katupa majibu yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке