CRISTINA SHUSHO apiga magoti kwa NABII MKUU atoa milioni 10, Tamasha lake na ROSE MHANDO

Описание к видео CRISTINA SHUSHO apiga magoti kwa NABII MKUU atoa milioni 10, Tamasha lake na ROSE MHANDO

Nabii Mkuu Mhe Dr GEOR DAVIE amempa milion kumi muimbaji wa muziki wa injili CHRISTINA SHUSHO kaajili ya kufanikisha tamasha lililoandaliwa na muimbaji huyo akishirikiana na mwuibaji mwenzake ROSE MHANDO

..................
Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
Instagram, Twitter na Facebook

Комментарии

Информация по комментариям в разработке