Waridi wa BBC: Mwanamke anayehangaika kupata mtoto katika ndoa

Описание к видео Waridi wa BBC: Mwanamke anayehangaika kupata mtoto katika ndoa

Waridi wa BBC: Najda Khan ,34, ambaye amekua na shauku ya kuishi maisha yake kikamilifu, mbali na kuwa yeye ni mwanamke kama wanawake wengine duniani.

Najda, amekua na ndoto ya kupata ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio, kwa kipindi cha miaka minane sasa.
Lakini bado hajakata tamaa.

#Watoto #Wanawake #Afyayauzazi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке