Jimbo liko wazi...Mkandarasi Mwanamke anayeaminiwa na Serikali Kibondo

Описание к видео Jimbo liko wazi...Mkandarasi Mwanamke anayeaminiwa na Serikali Kibondo

Wakati Jamii ikiamini kuwa kuna Kazi za Wanaume na Wanawake, Mwanamke huyu ambaye ni mkandarasi wa kwanza Mwanamke Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma anatoa wito kwa Wanawake kutochagua kazi kama wanataka kujikomboa, anatoa wito wajiunge naye ili kujifunza.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке