MAJANGA: MAFURIKO YAZONGA NYUMBA ZAIDI YA 100 KIGOMA, WANANCHI WAFUNGUKA WALIA NA SERIKALI

Описание к видео MAJANGA: MAFURIKO YAZONGA NYUMBA ZAIDI YA 100 KIGOMA, WANANCHI WAFUNGUKA WALIA NA SERIKALI

Nyumba Zaidi ya 160 Katika Kata ya Katubuka Manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma, zimevamiwa na Maji na wananchi kukosa makazi, na kulazimika wengine kupanga bila kutegemea, kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha huku wakilalamikia ujenzi wa barabara zinazojengwa kuelekeza mitaro yake katika makazi ya watu.


Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 https://chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...


Subscribe hapa : https://bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : https://bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5

Комментарии

Информация по комментариям в разработке