Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Yakatishwa, Watu Wataka Ajiuzulu, Mbowe Atuliza Mambo

Описание к видео Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Yakatishwa, Watu Wataka Ajiuzulu, Mbowe Atuliza Mambo

Hotuba ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ilikatishwa na waombolezaji katika msiba wa Marehemu Ali Kibao, wakati Waziri huyo alipokuwa akifanya dua maalum leo Septemba 09,2024, katika msiba huo uliofanyika mkoani Tanga.

Wakati akiendelea na dua hiyo, waombolezaji walianza kupiga kelele huku wengine wakimtaka ajiuzulu, hali hiyo ilizua sintofahamu na kumbidi Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuingilia kati kutuliza mambo.



Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке