Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

  • Dr. Mwanyika
  • 2020-12-01
  • 20271
Dalili za  Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!
  • ok logo

Скачать Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba! бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba! или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba! бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Dalili za Presha kwa Mjamzito au Shinikizo kubwa la Damu kwa Mjamzito | Dalili za Kifafa cha Mimba!

Presha ya Ujauzito, Presha ya Mimba, Shinikizo kubwa la Presha kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba, Kifafa Cha Ujauzito, Presha kubwa kwa Mjamzito, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya katikati, Kifafa Cha Mimba Miezi Mitatu ya mwishoni mwa Ujauzito, Presha ya Ujauzito na Dr.Mwanyika

Kuna baadhi ya akina Mama wajawazito huweza kupata shinikizo kubwa la Damu na wakaishia kupata kifafa cha Mimba katika kipindi fulani cha Ujauzito, 70% ya Wajawazito hao huwa ni wale wanaopata Ujauzito kwa mara ya kwanza uzeeni (Miaka 35 kwenda juu) au katika umri mdogo chini ya miaka 21.

Presha kutokana na Ujauzito/Mimba hujulikana kama ongezeko la shinikizo la damu kuanzia 140/90mmHg kuanzia wiki ya 20 (Miezi 5) kwenda juu kwa Mama ambaye alikuwa hana Presha kabla ya Ujauzito na huweza kupungua katika wiki 4 au 6 mara baada ya kujifungua na hata kama ikiendelea kuwepo basi huwa haizidi wiki 12 tokea Mama ajifungue.

Vihatarishi vinavyopelekea Mama/Dada kuwa na Presha kubwa katika Ujauzito wake.

1. Mimba ya kwanza Uzeeni au Utotoni!

2. Historia ya Presha kwa Mama yake mzazi.

3. Magonjwa ya kurithi mfano upungufu wa Protini C na S au (APS).

4. Matatizo kutokana na Kondo la nyuma mfano Mama mjamzito mwenye Kisukari au Mapacha.

5. Uzito Mkubwa / Fetma.

6.Baba Mpya.

Dalili za Presha kutokana na Ujauzito ni kama;

1. Kuongezeka kwa presha zaidi ya 140/90mmHg.

2. Maumivu ya kichwa yasiyopungua kwa kutumia dawa za maumivu.

3. Kuvimba Miguu ghafla au mwili mzima ikihusisha usoni.

4. Kupata shida ya kuona au kuona wenge.

5. Maumivu ya tumbo upande wa kulia sehemu ya juu!

6. Kukojoa Mkojo kidogo.

7. Kupata shida kwenye damu kwa sababu ya upungufu wa seli zinazogandisha Damu.

8. Kuongezeka kwa Protini kwenye Mkojo.

9. Kushindwa kupumua.

KUMBUKA; Uonapo Dalili hizo wakati wa Ujauzito basi unatakiwa kupata ushauri kutokwa kwa Mkunga au Daktari ili kuhakikisha unakuwa na Afya!

NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#PreshaMjamzito
#JapideAfya_Services

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Shinikizo la damu kwa mama mjamzito
    Shinikizo la damu kwa mama mjamzito
    2 года назад
  • SIMANZI ARUSHA WAMLILIA SALOME ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA GARI YA MAGEREZA, MAMA AONGEA KWA UCHUNGU
    SIMANZI ARUSHA WAMLILIA SALOME ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA GARI YA MAGEREZA, MAMA AONGEA KWA UCHUNGU
    1 день назад
  • VIDEO: MSAFARA ULIOBEBA JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO UKIELEKEA KANISANI....
    VIDEO: MSAFARA ULIOBEBA JENEZA LENYE MWILI wa KARDINALI PENGO UKIELEKEA KANISANI....
    1 день назад
  • MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    MEMKWA SCHOOL [EP 14]
    21 час назад
  • Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya
    Presha ya Mimba. Jinsi ya Kujikinga Usipate. Zingatia haya
    4 года назад
  • Mwili wa Kadinali Pengo Ulivyoshushwa Kaburini
    Mwili wa Kadinali Pengo Ulivyoshushwa Kaburini
    1 час назад
  • Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    Hizi ni Dalili za Kujifungua za Mwanzoni kwa Mjamzito! | Je Dalili za mwanzoni za Uchungu ni zipi?
    4 года назад
  • DADA WA MAREHEMU KADINALI PENGO Azungumza Mazito Kifo cha Kaka Yake
    DADA WA MAREHEMU KADINALI PENGO Azungumza Mazito Kifo cha Kaka Yake
    2 часа назад
  • ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНО: ВОЙНА В ИРАНЕ | ВЗРЫВ В МОСКВЕ | ЧП С САМОЛЕТОМ АЭРОФЛОТА | ЗАДЕРЖКИ СТИПЕНДИИ
    ⚡️НОВОСТИ | СРОЧНО: ВОЙНА В ИРАНЕ | ВЗРЫВ В МОСКВЕ | ЧП С САМОЛЕТОМ АЭРОФЛОТА | ЗАДЕРЖКИ СТИПЕНДИИ
    4 часа назад
  • Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??
    Je ni kwa nini Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito?? | Mapigo ya Moyo kwenda mbio kwa Mjamzito??
    4 года назад
  • Chemicola/Grand Malt Inaongeza Damu Ktk Ujauzito? | Mirinda au Grand Malt Inaongeza Damu?
    Chemicola/Grand Malt Inaongeza Damu Ktk Ujauzito? | Mirinda au Grand Malt Inaongeza Damu?
    2 месяца назад
  • K2GA akataa kurudi Kings Music, Afunguka kuhusu Alikiba
    K2GA akataa kurudi Kings Music, Afunguka kuhusu Alikiba "hatufanani sauti" Amchana Makabila na haya
    3 часа назад
  • Kiasi cha Wanga Mwilini. Nimeeleza kiundani zaidi.
    Kiasi cha Wanga Mwilini. Nimeeleza kiundani zaidi.
    8 дней назад
  • Simu ya mwisho ya Kardinali kwa Dada yake wa Pekee/ Mama Khamsini aelezea Sababu/ Siku za Ugonjwa ..
    Simu ya mwisho ya Kardinali kwa Dada yake wa Pekee/ Mama Khamsini aelezea Sababu/ Siku za Ugonjwa ..
    3 дня назад
  • Yajue Haya! Kabla Ya Kuanzishiwa Uchungu! | Mimba Ya Wiki 41 AU Zaidi!
    Yajue Haya! Kabla Ya Kuanzishiwa Uchungu! | Mimba Ya Wiki 41 AU Zaidi!
    2 месяца назад
  • Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?
    Sikiliza Dalili za Kifafa cha Mimba na Madhara Yake kwa Mjamzito?
    1 год назад
  • Первый месяц жизни новорождённого: сон, уход, развитие, кормление и стул
    Первый месяц жизни новорождённого: сон, уход, развитие, кормление и стул
    6 месяцев назад
  • Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?
    Je Mtoto kucheza zaidi Tumboni mwa Mjamzito huwa ni hatari? | Je husababishwa na nini?
    4 года назад
  • Presha Kubwa Kiasi ya Ujauzito na Matumizi ya Dawa
    Presha Kubwa Kiasi ya Ujauzito na Matumizi ya Dawa
    7 месяцев назад
  • Ukiona Hedhi Ktk Ujauzito Wako Ufanyaje?
    Ukiona Hedhi Ktk Ujauzito Wako Ufanyaje?
    6 дней назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com