Biriani ya samaki | Jinsi yakupika biryani ya prawn 🦐 tamu sana | Wali wa prawns | Biryani.

Описание к видео Biriani ya samaki | Jinsi yakupika biryani ya prawn 🦐 tamu sana | Wali wa prawns | Biryani.

#mapishiyakiswahili #biryaniyaprawns #biryani #biriani #waliwaprawns.

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
Prawns nusu kilo
Mchele wa basmati glasi 1& nusu
Pilipilimanga kijiko nusu cha chai
Iliki kijiko nusu kidogo
Chumvi
Kitunguusaumu vijiko 2 vya chakula
Maji ya limau/ Ndimu 1
Kitunguu Maji 2
Karoti
Mahindi yaliyochemshwa
Njegere/peas
Garamasala kijiko kidogo
Currypowder kijiko kidogo
Manjano kijiko kidogo nusu
Tomato ya mkebe vijiko 2
Rangi ya chakula ya machungwa
Maji kikombe robo
Mafuta yakupika

Asalam aleikum /habari zenu , spices zipo tayari kwa bei rejareja na jumla, kwa Mahitaji ya spices muhimu jikoni zilizotengezewa nyumbani (viungo 16)wasiliana nasi kwa nambari ➡️ +254 787 022663 / +254 791 784401 tunatuma Eastafrican nzima .
Instagram ➡️ Laltias_swahili_spices.


English recipe follow the link ➡️ How to make prawns biryani | Prawns biryani ➡️    • How to make prawns biryani | Prawns b...  

Original recipe from (SUHAYFAS FOOD)➡️    • Jinsi ya kupika Wali Wa Prawns / Kamb...  

For more swahili videos follow :
➡️    / @husna_laltia  

➡️    / @eastafricanfoodsrecipes9183  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке