Biriyani ya kuku | Jinsi yakupika biriani ya kuku tamu na kwa njia rahisi | Biriani | Colloboration.

Описание к видео Biriyani ya kuku | Jinsi yakupika biriani ya kuku tamu na kwa njia rahisi | Biriani | Colloboration.

#biryani #birianiyakuku #swahilibiriani #biriani

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Suhayfoods (wali wa ouzi )➡️    • Jinsi ya kupika wali wa OUZI mtam na ...  


English recipe follow the link➡️    • Biriyani | Chicken biryani recipe |Ho...  

MAHITAJI:-
Kuku 1kg
biriani powder kijiko 1 chakula
Chicken masala kijiko 1 kidogo
manjano kijiko kidogo
magi ama jumbo
garamasala kijiko 1 cha kula
vitunguu vya maji 5
kotmiri / dania
mafuta kikombe nusu
maziwa mtindi kikombe 1
kitunguusaumu na tangawizi vijiko 3 vya kula
chumvi
foodcoloring tafuati
viazi 3
tomato 5 kubwa
tomato mkebe vijiko 4-5 vya kula
ndimu 2


For more swahili videos follow ➡️    / @villagelife2024-g3r  
➡️    / @husna_laltia  

➡️    / @eastafricanfoodsrecipes9183  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке