Magoroto Forest | Exploring Tanzania

Описание к видео Magoroto Forest | Exploring Tanzania

Msitu wa Magoroto unapatikana katika milima ya Usambara Mashariki kaskazini-mashariki mwa Tanzania. Milima ya Usambara Mashariki ni sehemu ya safu ya milima inayoitwa Tao la Mashariki ambayo inaanzia kusini mwa Kenya hadi kusini mwa Tanzania. Milima hii inajulikana kwa viwango vyake vya juu vya viumbe hai na aina nyingi za maua.

Magoroto ni sehemu nzuri sana ya kutembelea wewe na marafiki zako au safari ya mtu moja. Kuna vingi vya kuona na kujifunza lakini pia ni sehemu salama.

One thing, kama ukichagua huduma ya vyumba hauwezi kupata internet ambayo ni point ya msingi ya ku unplug from the noise digital world!

I hope utaenjoy video hii.

-------------------
Kama ungependa kuconnect zaidi, check my social media pages:

Instagram:   / janeshussa  
Twitter:   / shussajane  
Blog:https://www.maishakuishi.com/

Комментарии

Информация по комментариям в разработке