TWAKUSHUKURU BWANA

Описание к видео TWAKUSHUKURU BWANA

Twakushukuru Bwana wa ma bwana hakuna kama wewe, fadhili zako ee Bwana wa ma bwana, hakuna kama wewe, upendo wako wadumu Bwana wangu, tuseme nini Bwana, matendo yako yadumu Bwana wangu, tuseme nini Bwana. Tukikumbuka miaka iliyopita watu walikimbiya, ila mkono wa Bwana wa ma bwana, twaishi kwa neema, wengi waliuwawa bure, wengi wakaa porini, lakini sisi watu wa Goma, twaishi kwa neema. Tukikumbuka habari za huko Beni twaliya kwa huruma, uporaji uuwaji wa huko Rutchuru kweli ni ya huruma, ila mkono wa Bwana wa ma bwana, wachunga watu wake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке