Kiongozi CCM amvaa Mbowe kauli ya kutaka watu waandamane kama Gen Z

Описание к видео Kiongozi CCM amvaa Mbowe kauli ya kutaka watu waandamane kama Gen Z

Wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman mbowe akiombea kinachoendelea nchini Kenya na kundi la Gen Z kifanyike Tanzania, hayo ameyaongea Jana Julai 10, 2024, wakati akiwa kwenye mkutano wa hadhara wilayani humo mkoani Kilimanjaro.

Lakini Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dodoma, Jawadu mohammed yeye amewatahadharisha watanzania kutofanya maandamano ambayo hayana ulazima kwani yamekuwa yakirudisha nyuma maendeleo ya nchi nyingi.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке