JE WANAWAKE WANARUHUSIWA KUHUDUMU KANISANI?

Описание к видео JE WANAWAKE WANARUHUSIWA KUHUDUMU KANISANI?

Karibu kwenye utangulizi wa mfululizo wa masomo kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye huduma mbalimbali, aidha iwe ni uchungaji, ualimu, utume, unabii na hata uinjilisti. Hili fumbo linatatiza wengi kiasi kwamba hata kuna wanaoshindwa kumtumikia Mungu vile wanavyohisi ndani. Limekaaje? Ambatana na Mwinjilisti Dkt Jonas Michael akitupitisha kwenye mfululizo wa somo hili.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке