Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar

  • JamiiForums
  • 2016-09-02
  • 32560
Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar
  • ok logo

Скачать Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Hotuba ya Rais Magufuli kisiwani Pemba, Zanzibar

Magufuli: Uchaguzi umeshakwisha na utakuja tena 2020, huo ndio ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Uchaguzi umekwisha mimi nikachaguliwa kuwa Rais na naitwa John Pome Magufuli na nimefunga Makufuli yote na funguo nimeshatupa.

Nataka niseme Mhe Dk Shein, wewe ndie Rais na inawezekana umekuwa mpole kidogo, huo upole weka pembeni, unasapoti yangu yote, atakaekuchezea chezea niambie hata kwa kuninong'oneza.

Tushirikiane kwa nguvu zote, wanaojaribu kuchezea amani yetu, mimi niliwahi kwenda Libya, mojawapo ya nchi za Afrika zilizokuwa na raha ni mojawapo. Pakajitokeza watu wachache kwa kuahidiwa ahadi za uongo, Libya leo siyo mahali panapokalika, watu wanamwaga damu kila siku, watu walichezea amani, hata amani inalevya.

Rwanda wakati wa genocide walikufa watu wanaokaribia milioni moja, mmenichagua kuwa Rais wenu, nna wajibu wa kuwaeleza ukweli, wanaofanya chokochoko tunawajua wengine, wafatilieni wote wanaochomachoma washughulikiwe wote bila huruma. Mna bahati mna Rais mpole sana na hata sura yake nzuri tu na ni Rais alietoka Pemba, ni kitu gani kinatusumbua.

Mimi nilifanya nae kazi nikiwa naibu waziri na waziri, ninamfajhamu Dk Shein, mpeni ushirikiano. Kuna mtu alijifungia kwenye chumba alafu akasema ametoka Ulaya, msikubali kudanganywa, hivi karibuni alinunua Meli na zinafanya kazi, kuna maeneo mengi yamepelekwa maji na umeme, watu hamtaki kuyaona haya. Palikuwa na Prof Mbarawa hapa mkamkataa jimbo la mkoani(Mkanyageni) mkamkanyagia hukohuko, mimi nnafahamu umuhimu wake na nikachukua wizara tatu nikaziunganisha zote nikampa mtu aliekanyagwa huku.

Mpeni ushirikiano Dk Shein, imebaki miaka minne tu na kitu na kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar hiki ndio kipindi chake cha mwisho. Nawaomba wananchi tujenge umoja wetu. Tukienda kwa umoja wetu tutafanikiwa, tunataka tuimarishe uvuvi, mazao na serikali iliongeza hela kununua karafuu japo pato lake limeanza kushuka, tunataka tujenge hii nchi. Katika kipindi kifupi Pemba itakuwa kama Ulaya na wanaoharibu Pemba ni watu wachache sana.

Wengine wanasema uchaguzi utarudiwa, kwa kawaida ndoto huwa ni usiku lakini hizo ni ndoto za usiku, lakini ukimkuta mtu anaota mchana, huyo anatafuta ukichaa. Nampongeza sana nh Jecha kwa kusimamia uchaguzi na umeenda vizruri sana na kama kuna tuzo mheshimiwa Shein utatoa, Jecha umpe hizo tuzo. Napongeza sana vyombo vya ulinzi, mmefanya kazi nzuri sana, mmesimamia amani ya Tanzania kwa uzalendo mkubwa sana.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • Hotuba ya Rais Magufuli Unguja, Zanzibar
    Hotuba ya Rais Magufuli Unguja, Zanzibar
    9 лет назад
  • LIVE: UHURU KENYATTA AKIPOKELEWA CHATO NA RAIS MAGUFULI
    LIVE: UHURU KENYATTA AKIPOKELEWA CHATO NA RAIS MAGUFULI
    Трансляция закончилась 6 лет назад
  • MAGUFULI: Msinichagulie shikamoo Zanzibar, nitapata shida...
    MAGUFULI: Msinichagulie shikamoo Zanzibar, nitapata shida...
    5 лет назад
  • "RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM
    6 лет назад
  • RAIS DKT MAGUFULI AKIZINDUA  JENGO LA MAKAO MAKUU YA  TARURA ENEO LA MJI WA SERIKALI - MTUMBA
    RAIS DKT MAGUFULI AKIZINDUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA TARURA ENEO LA MJI WA SERIKALI - MTUMBA
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • США начали бомбардировку Ирана. Что происходит?
    США начали бомбардировку Ирана. Что происходит?
    3 часа назад
  • MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA
    MKUTANO WA RAIS MAGUFULI NA WAFANYABIASHARA
    Трансляция закончилась 6 лет назад
  • RAIS MAGUFULI AFICHUA SIRI KUHUSU DK. HUSSEIN MWINYI
    RAIS MAGUFULI AFICHUA SIRI KUHUSU DK. HUSSEIN MWINYI "SIJWAHI KUWAPA HII SIRI"
    Трансляция закончилась 5 лет назад
  • Haya Ndiyo Matokeo Kamili Ya Wagombea Uraisi Tanzania Bara
    Haya Ndiyo Matokeo Kamili Ya Wagombea Uraisi Tanzania Bara
    10 лет назад
  • Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    Отшельники Урала. 700 км по реке к деревням без электричества, дорог и связи
    22 часа назад
  • HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
    HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
    7 лет назад
  • Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
    Maeneo Huru ya Uwekezaji Micheweni Pemba
    1 год назад
  • RAIS MAGUFULI ATAFUTA SAMAKI WAKE FERI
    RAIS MAGUFULI ATAFUTA SAMAKI WAKE FERI "WAAMBIE SAMAKI WANGU ASIJE POTEA"
    6 лет назад
  • Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein
    Alichokizungumza Rais Magufuli kuhusu Maalim Seif kukataa mkono wa Rais Shein
    9 лет назад
  • MAGUFULI AWAVAA WANAFUNZI ZANZIBAR
    MAGUFULI AWAVAA WANAFUNZI ZANZIBAR "AIBU MNAKUWA WA MWISHO KILA MATOKEO YAKITOKA"
    6 лет назад
  • ГУДКОВ:
    ГУДКОВ:"Путин в припадке. Нокдаун". Чем обернется удар США по Ирану, что в Кремле, как будет дальше?
    1 час назад
  • Rais Magufuli ashindwa kujizuia, amwaga sifa kwa Lowassa
    Rais Magufuli ashindwa kujizuia, amwaga sifa kwa Lowassa
    7 лет назад
  • 'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli
    'Wanasema sijui Kiingereza, sasa niliandikaje hizo thesis''-Rais Magufuli
    7 лет назад
  • Magufuli amjibu aliyeongea Kiingereza mbele yake
    Magufuli amjibu aliyeongea Kiingereza mbele yake
    5 лет назад
  • SHUHUDIA UZURI WA KUVUTIA WA PEMBA
    SHUHUDIA UZURI WA KUVUTIA WA PEMBA
    1 месяц назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com