JAPHET ZABRON AFICHUA MANENO YA MWISHO YA NDUGU YAKE KABLA YA KIFO | UPASUAJI WA MOYO CHANZO...

Описание к видео JAPHET ZABRON AFICHUA MANENO YA MWISHO YA NDUGU YAKE KABLA YA KIFO | UPASUAJI WA MOYO CHANZO...

Kiongozi Na Muimbaji Wa Kundi La Muziki Wa Injili @zabronsingers ndugu @marcojoseph_official amefariki Dunia katika Hospitali Ya Taifa MOI jijini D’salaam alikokuwa anapatiwa Matibabu.

Taarifa za Awali Kutoka Kwa Ndugu Yake @japhetzabron_official anasema Marco Alipata mshtuko Wa Moyo Wakiwa safarini kihuduma Nchini Kenya siku chache zilizopita,Jitihada za matibabu zilifanyika katika Hospital Ya Rufaa Ya Kanda,Bugando Mwanza na Baadae Kuhamishiwa MOI ambapo umauti umemkuta akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.

Tamka Neno La Faraja Kwa Familia ya @zabronsingers Katika Kipindi hiki Kigumu cha Kuondokewa na Mpendwa Wao.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке