(Part :01) SITASAHAU MAISHA YA DAR ES SALAAM | SIMULIZI YA MAISHA

Описание к видео (Part :01) SITASAHAU MAISHA YA DAR ES SALAAM | SIMULIZI YA MAISHA

Pesa ni kitu ambacho kila mmoja anahangaika ili kuweza kuikamata.
Wanafunzi wanakwenda shuleni ili waelimike na baadae waweze kuipata
pesa kwa urahisi, Wafanyakazi wanakwenda kazini ili mwisho wa siku
waweze kupata pesa, Wakulima wanakwenda shambani ili mwisho wa
siku wavune na kujipatia pesa, na hata wale omba omba wa mtaani wanajitahidi ili waweze kujipatia pesa.
Ukiwa na pesa unaweza kupata mahitaji ya kila namna. Ukiwa na pesa unaweza kupata chakula, ukiwa na pesa unaweza kupata sehemu ya kulala, na pia ukiwa na pesa unaweza kupata mavazi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке