PIUS MSEKWA : ALIMPIGA RISASI RAIS/ NILIPEWA URAIS SIKU 3/ SIKUNYONGA MTU/ NILIOGOPA MTANIIBIA

Описание к видео PIUS MSEKWA : ALIMPIGA RISASI RAIS/ NILIPEWA URAIS SIKU 3/ SIKUNYONGA MTU/ NILIOGOPA MTANIIBIA

Huu ni Muendelezo wa Sehemu ya Pili ya Mahojiano ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Pius Msekwa Akizungumzia Historia yake Binafsi ya Uongozi Kutoka Mwaka 1961 alipoajiriwa kuwa Mtumishi wa Serikali

Utayafahamu Mengi Sana yanayohusu Siasa na Uongozi Kuanzia Awamu ya Kwanza Mpaka Hivi sasa

Host :

DAVID RWENYAGIRA
CHARLES WILLIAM

#MsumariWaMoto #GoodMorning #PiusMsekwa

© WASAFI MEDIA

Комментарии

Информация по комментариям в разработке