Yanga yatua Afrika Kusini, yakutana na wapinzani wao Augsburg

Описание к видео Yanga yatua Afrika Kusini, yakutana na wapinzani wao Augsburg

“Mmekuja mmependeza lakini mnakuja kucheza na Yanga” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea maneno aliyowaambia Augsburg baada ya kukutana nao uwanja wa ndege nchini Afrika Kusini.

Kamwe pia amesema mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC, ni mechi ya kwenda kuwashona midomo.

Yanga ipo Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya Mpumalanga Premier’s International Cup 2024 na Toyota Cup.

Julai 20, Yanga itacheza dhidi ya Augsburg kwenye Mpumalanga Premier’s International Cup 2024,

#YangaSC #Augsburg

Комментарии

Информация по комментариям в разработке