Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama

Описание к видео Baraka Mpenja achambua ubora wa majembe mapya Simba, Yanga | Mutale ni SGR mtupu? amtaja Chama

Mchambuzi na Mtangazaji wa soka, Baraka Mpenja ametoa mtazamo wake kuhusu nusu fainali ya Ngao ya Jamii ya Dabi ya Kariakoo itakayopigwa kesho Agosti 8, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku akisisitiza dabi hiyo huwa haitabiriki, lakini anaona itaamuliwa na eneo la kiungo.

Hata hivyo, Mpenja amesema wachezaji wapya watano au sita waliosajiliwa msimu huu na Simba wanaweza kuanza kikosi cha kwanza, lakini kwa upande wa Yanga haoni mabadiliko makubwa kwani kikosi kinaweza kuwa kile kile, huku akimpa Prince Dube nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza cha timu hiyo.







































































































#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Комментарии

Информация по комментариям в разработке