Simulizi Maasi ya Kijeshi 1964: Utata Kuhusu Namna Nyerere Alitoroshwa Ikulu Magogoni | Mohamed Said

Описание к видео Simulizi Maasi ya Kijeshi 1964: Utata Kuhusu Namna Nyerere Alitoroshwa Ikulu Magogoni | Mohamed Said

Mwanahistoria Mohamed Said anaeleza namna hali ilivyokuwa mjini Dar es Salaam siku yalipozuka maasi ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles) Januari 20, 1964.

Mzee Said ambaye pia ni mwandishi wa kitabu kuhusu maisha ya Abduwakili Syekes mmoja wa waasisi wa TANU mwaka 1954, anaeleza utata kuhusu simulizi za namna Nyerere alivyotoreshwa kutoka Ikulu siku ya maasi kwa kuangazia kitabu cha aliyekuwa mlinzi wa Mwalimu Nyerere Peter Bwimbo na simulizi ya Kihistoria aliyeipata kutoka kwa mzee Kondo ambaye naye aliwahi kufanya kazi katika Special Branch na badae Idara ya Usalama wa Taifa.

Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке