Falsafa Nyuma ya Kuundwa kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) | Dkt Ng'wanza Kamata

Описание к видео Falsafa Nyuma ya Kuundwa kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) | Dkt Ng'wanza Kamata

Mhadhiri Mwandamizi kutoka Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt Ng'wanza Kamata anaeleza kwa undani hali ya kisiasa na mahusiano kati ya Serikali ya Tanganyika huru na Jeshi lilolithiwa kutoka ukoloni hadi kupeleka kuzuka kwa maasi ya kijeshi Januari 20, 1964.

Dkt Kamata ambaye pia ni mwandishi mwenza wa kitabu cha maisha ya baba wa taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere ameeleza pia ni ipi hasa ilikuwa falasa iliyowaongoza waasisi wa taifa kulivunja kabisa Jeshi lilioasi na kuunda Jeshi jipya lilofahamika kama Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania ambalo Septemba 1, 2024 lilitimiza miaka 60 tangu kuasisiwa.


Unaweza kutufuatilia kupitia;

TWITTER:   / thechanzo  
INSTAGRAM:   / thechanzo  
FACEBOOK:   / thechanzo  
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com

Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105

The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке