Malangalila "Nina Imani Iringa hatujasimika Chifu, Ni Tusi Kubwa Sana Chifu Kusimikwa na Mwanamke"

Описание к видео Malangalila "Nina Imani Iringa hatujasimika Chifu, Ni Tusi Kubwa Sana Chifu Kusimikwa na Mwanamke"

Mzee wa hekima za kihehe Gerald Malangalila, amesema kuwa Chifu wa sasa wa Iringa Adam Abdul Sapi II, hajatimiza vigezo vya kuwa Chifu wa Wahehe kutokana na sherehe ya kusimikwa kwake kutokua halali. Amesema miongoni mwa masharti ya kusimikwa kwa Chifu wa Wahehe ni lazima anaetaka kusimikwa awe na umri kuanzia miaka 28, umri ambao Chifu wa sasa wa Wahehe hajautimiza. Sambamba na hayo amesema ni matusi makubwa Chifu kusimikwa na Wanawake lakini pia ni suala la aibu kwa Chifu kuibiwa viatu siku ya kusimikwa kwake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке