HISTORIA YA CHIFU MKWAWA: Alikuwa na wake 62, alitumia mtambo kumbaini mke ‘aliyechepuka’ (MAKALA)

Описание к видео HISTORIA YA CHIFU MKWAWA: Alikuwa na wake 62, alitumia mtambo kumbaini mke ‘aliyechepuka’ (MAKALA)

Azam TV imefika katika ngome ya Chifu Mkwawa, Kalenga mkoani Iringa mahali lilipo fuvu lake ili kuipata kwa undani historia ya Chifu Mkwawa pamoja na kabila la wahehe.

Miongoni mwa mambo tuliyoyashuhudia ni fuvu la Chifu Mkwawa na mtungi maalum ambao alikuwa akiutumia kubaini endapo kuna mke wake aliyechepuka (aliyetoka nje ya ndoa) na kama akibaini akimbaini, adhabu yake ilikuwa ni kukatwa masikio yote mawili.
Vingine ni risasi alizokuwa akizitumia katika vita na ma
Fuatilia hitoria hii ujionee maajabu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке