KKKT NJOMBE WAELEZA UHALALI WA KUMILIKI MAENEO YENYE MGOGORO LUNYANYWI

Описание к видео KKKT NJOMBE WAELEZA UHALALI WA KUMILIKI MAENEO YENYE MGOGORO LUNYANYWI

Kumekuwa na mvutano mkali baina ya kanisa la KKKT dayosisi a kusini na baadhi wananchi mjini Njombe juu ya umiliki halali wa eneo la Lunyanywi kilipo chuo cha Amani pamoja na shul;e ya sekondari ya halmashauri ya mji njombe Lunyanwi ambapo hivi karibuni waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh Jerry Slaa alifika na kusikiliza mkasa huo ambao hata Hivyo ameuweka kiporo mpaka january 2024

Комментарии

Информация по комментариям в разработке