SAA YA KUKUTANA NA BWANA

Описание к видео SAA YA KUKUTANA NA BWANA

Ungana nasi kusikiliza neno la Mungu mubashara kutoka kanisani City Light Temple iliyopo Goba, Matosa

Tunazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa mema na makuu aliyotutendea mwaka wote huu. Asante sana kwa kujumuika nasi hapa. Mualike na mwingine hapa.
Endelea kufuatilia mafundisho mubashara kutoka kanisa la T.A.G City Light Temple - CLT lililopo Goba Matosa.

Ili kumtolea Mungu zaka na sadaka, unaweza kutumia njia zifwatazo;

VODACOM LIPA NAMBA
5201833
SADAKA TAG CITY LIGHT TEMPLE

Au kupitia

BENKI YA CRDB
ACCOUNT NAMBA 133704447900
Jina la Account - TAG CITY LIGHT TEMPLE

USISAHAU KU SUBSCRIBE NA KUSHARE HABARI NJEMA

#CLT #SEMINA#NenoLaMungu #TanzaniaAssembliesOfGod #TAG
Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la CITY LIGHT TEPLE-CLT

Комментарии

Информация по комментариям в разработке