Ngeleja Afunguka Mazito Baada ya Kutuhumiwa Sakata la Mchanga wa Madini

Описание к видео Ngeleja Afunguka Mazito Baada ya Kutuhumiwa Sakata la Mchanga wa Madini

Ngeleaja amefunguka mengi juu ya sakata la mchanga wa madini na madini yetu kwa ujumla pamoja na kumpongeza mh. Rais Magufuli kwa kazi kubwa ambayo ameifanya na ujasiri alioutumia katika kudili na suala la madini ambalo lingeweza kuchukua muda mrefu sana, pamoja na hayo Ngeleja amefunguka kuhusiana na yeye kulitumikia taifa kama waziri wa nishati na madini kwa miaka mitano, habari hii inaendelea, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublishers  
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpublishers  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке