SOKO LA MARIKITI NI KIVUTIO CHA WATALII MOMBASA

Описание к видео SOKO LA MARIKITI NI KIVUTIO CHA WATALII MOMBASA

Mji wa Mombasa unasalia kituo muhimu cha historia ya mataifa ya Afrika mashariki. Mji huo unafahamika kuwa na vituo vingi vya kihistoria kama vile jumba la Fort Jesus na pia pembe za tembo.Soko la Mckinon maarufu Marikiti ni kituo kingine cha kihistoria kama anavyotueleza Salma Mohamed akiwa Mombasa.#VOA #VOASWAHILI

Комментарии

Информация по комментариям в разработке